WAUZAJI WA NA WAFUGAJI WA SUNGURA.: Huduma zao - Dukamobile
SUBTOTAL :


agriculture All
WAUZAJI WA NA WAFUGAJI WA SUNGURA.: Huduma zao

WAUZAJI WA NA WAFUGAJI WA SUNGURA.: Huduma zao

COPY PRODUCT CODE IN RED
Product Info

BUY NOWSELL

Product Description

Dr.Mosha mwalimu na mtaalamu wa mifugo aina ya sungura anakuletea huduma zitolewazo nae
Na huduma hizo ni pamoja na

1.Mafunzo juu ya ufugaji wa sungura na malisho yake.
2.Utengenezaji wa mabanda ya kisasa kwa sungura na vyombo vyake vya kulia chakula pamoja na maji
3.Pia kutoa huduma ya afya kwa wanyama kwa wanyama aina ya singura.
4. Kuuza Na kusambaza nyama za sungura. Huku ikiwa kilo ni Tsh
Huduma ya matibabu katika simu 076365848
Wauzaji na wasambazaji wa nyama
5.Pia huuza na begu za sungura aina (breeders)

Wanapatikana Arusha Na moshi
Namba ya simu;;076365848


1 Review: